Waebrania 8:10
Print
Hili ni agano jipya nitakalofanya na watu wa Israeli siku zijazo, asema Bwana: Nitaziweka sheria zangu katika fahamu zao, na nitaandika sheria zangu katika mioyo yao. Nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu.
Hili ndilo agano nitakalofanya na nyumba ya Israeli siku zile zitakapowadia, asema Bwana: nitaweka sheria zangu akilini mwao, na kuziandika mioyoni mwao, nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) Copyright © 2017 by Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica